NEWS

14 Januari 2014

Kaa tayari kwa kitu kipya kutoka kwa Preofessa Jay na Diamond 'P-Funk Kusimamia Mzigo Mzima'

Profesa Jay ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule amepost picha kwenye Instagram akiwa na wawili hao kwenye studio mpya za Bongo Records na kuandika: Studio session at Bongo Records with the Super dupa producer P – Funk and Diamond Platnumz himself COOKING for all yall!! Stay Tuned.”



Unapata picha gani pale the heavyweight MC anapokutana na ‘the Bongo Flava Prince’kwenye wimbo uliotayarishwa na ‘Godfather wa Bongo Flava’ambaye ni P-Funk 

Majani ndiye aliyekuwa kichwa nyuma ya hit za Jay zikiwemo Jina Langu, Ndio Mzee, Zali la Mentali, Nikusaidieje na zingine kibao kwenye album ya mwaka 2001, Machozi, Jasho na Damu. Sina shaka kuwa ujio wao mpya utakuwa wa kishindo.


 Stay Tuned.”