Dr Jose Chameleone finally delivers the promise…Ni ile ahadi ya kuachia track yao mpya iitwayo“All Di Girls” ambayo amefanya na mkali kutoka Nigeria, Davido. Track hii aliifanya mwishoni mwa mwaka jana, 2013 kwa ushirikiano wa Leone Island Music Empire na HK Music CEO.
26 Januari 2014
Music: Dr Jose Chameleone ft Davido - All di Girls
Tags
# Jose Chameleone
# Music
About Mrs News Tanzania
Music
Category:
Jose Chameleone,
Music
