NEWS

19 Januari 2014

Nike: Kampuni ya Nike watoa Collection yao mpya za raba ziko hapa zitazame

Ni wakati mwingine tena ambapo kampuni ya utenegenezaji wavitu tofauti ya nike wametoa colletion yao mpya ya raba kwa mwaka huu inayoitwa BHM Nike.

Collection yao hii mpya ya raba iliyodesigniwa na  ikiwa na muonekano wa   'Sport Royality' kuwakumbuka timu member wao kama LeBron James.Carmelo Antony,Allyson Felix,Maya Moorre na Ishod Wair.

Collection hii imekuja na bidhaa 23 ikiwa na majaketi , viatu, soksi, na vituvingine vidogovidogo kama riboon n.k. Collection hii mpya ya kampuni ya nike imetoa raba tofauti zilizo katika rangi tofauti kama grey, gold,black,purple.

Collection hii mpya itazinduliwa rasmi katika stoo ya Nike na kuingia katika soko la dunia mwazo wa mwezi  wa pili mwaka 2014..stay tune kwa fashionable people it's your time

Tazama picha hapa chini..















Picha za Jackets na Soksi hapa chini..