Arnold Amezaliwa Austria, pia hizi ni Baadhi ya kazi anazozifanya Muigizaji, Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Mwekezaji, na wa zamani na Bodybuilder kitaaluma. Schwarzeneggeraliwahi vipindi viwili kama Gavana wa 38 wa jimbo la California kuanzia mwaka 2003 hadi 2011.
Hizi ni Baadhi ya Picha za Arnold akiwa na Familia yake na Marafiki zake wadamu
Hapa Arnold akiwa na kipezi chake Maria Shriver
Schwarzenegger na familia yake: Arnold na Maria na watoto (Kushoto) Christopher, Patrick, Katherine na Christina mwaka 2003
Wambele ni mtoto wa Arnold
Marafiki vipenzi: Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester Stallone 'Rambo'
Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester The Expendables in 2010
Movie alizowahi kuigiza ni Terminator: Genesis, The Expendables 3, Sabotage,Captive, Unknown Soldier,Predator, The Last Stand na Nyingine Nyingi
Hizi ni Baadhi ya Picha za Arnold akiwa na Familia yake na Marafiki zake wadamu
Arnold kwa Sasa Anamiaka 66
Schwarzenegger na familia yake: Arnold na Maria na watoto (Kushoto) Christopher, Patrick, Katherine na Christina mwaka 2003
Marafiki vipenzi: Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester Stallone 'Rambo'
Bruce Willis, Arnold Schwarzenegger na Sylvester The Expendables in 2010
Arnold Schwarzenegger(kushoto) Sylvester stallon(katikati) na Bruce Willis(Kulia) The Expendables in 2013
Credit:=dailymail.co.uk
.jpg)

.jpg)

.jpg)