NEWS

30 Januari 2014

Picha: Saint Laurent watoa lame lather high top Sneaker,zinarangi ya Gold zitazame hapa

Saint Laurent wametoa product mpya kabisa inaitwa lame lather high top ni sneaker mpya iliyodesigniwa kwa rangi ya gold Lather,na asilimia kubwa ya lame lather high top sneaker imezu
ngukwa na ngozi.
Lame  lamé leather high-top sneaker znzotengenezwan chini Italy, zinapatikana kwa bei ya  $570 kama unapenda fashion unaweza shop it oline via Saint Lauren on google search.

Tazama Picha za Lame lather high top Sneaker hapa..