Picha chini Mjengo mpya waTon Braxton ulioko karibu na nyumba ya Justin Bieber And Kourtney Kardashian
Nyumba mpya ya Braxton yenye vyumba 4, mabafu 4 ina ukubwa wa 5,323 sq. ft na ndio nyumba ndogo katika eneo ambalo ni karibu na ilipo nyumba ya Justin Bieber.
Mjengo wa Toni Braxton