Msanii Ben Pol ameachi Teaser ya Ngoma yake mpya iliyo jikoni kwa sasa,Collabo amepatiwa ngoma Fundi samweli Official released ya wimbo huu ni tarehe 11/2/2014So.. Fans wa Ben Pol kaa tayari kwa kitu kipya cha Ben Pol...!