Chukua muda wako wa kusikiliza wimbo mpya kutoka kwa Shetta alimshirikisha Msanii anayehit na Number 1 Remix na ngoma kali zingine kibao Dimaond Platnumz , jina la wimbo linaitwa 'Kerewa'
kwa nini jina la wimbo likawa hili kerewa sikiliza na Download
Sikiliza na download hapa chini...
27 Februari 2014
Music: Shetta ft Diamond Platnumz - Kerewa
Tags
# Diamond Platnumz
# Music
# Shetta
About Mrs News Tanzania
Shetta
Category:
Diamond Platnumz,
Music,
Shetta
