Breezy alitangaza kupitia tweeter huku akiweka link ya website mpya kwa kuandika ‘My Agency http://legendaryfacesmm.com casting by: @charlesincharge101 Photos by: @krishphotos @dgphoto7’.
Mshindi huyo wa grammy ambaye pia ameahidi kutoa album yake ya ‘X’ mwezi May mwaka huu baada ya kuahirisha mara kwa mara toka mwaka jana, alispend weekend yake lockup huko Los Angeles baada ya jaji kuamuru akamatwe kwa kuvunja sheria na taratibu za tiba yake, japo taarifa ya mahakama haikuelezea sababu halisi iliyomsababisha Brown aondolewe rehab huko Malibu alikokuwa ameongezewa miezi mingine miwili ya kuendelea kupata tiba ya kukabiliana na hasira.


