Diamond Platnumz aliandika maneno haya uku akiambatanisha na Picha ya Ommy Dimpoz hapo chini
"Moja ya watu ambao naamini hata NIKIFA kesho, Roho yangu itakuwa na amani ya kuamini kwamba kuna mtu ambae anaipeperusha vyema bendera ya Nchi yangu kupitia muziki... you jus call him @ommydimpoz ila wacha mi nimuite Kibonde..!"
Ebu tuambie Unaizungumziaje kauli ya Diamond?

