Jay z mwenye miaka 44 sasa, mume wa super star wa Rnb Beyonce na baba wa mtoto wa miaka 2 Blue Ivy hatapenda kutokea kwenye show ya maisha ya familia ya Kardashian maarufu kama The Kardashians.
Gazeti la Daily Star limeandika kuwa Jay Z ndio msanii rafiki zaidi wa Kanye West na anavigezo vyote kuwa msimamizi wake,
Jay Z atakubali kuwa Best men wa Kanye West kama hapatakuwa na mpiga picha wa kipindi hicho cha Kim K.
Fahamu kuwa Beyonce pia anapiga kabisa kitendo cha kutokea kwenye show za Kim kardashian.
Mpaka sasa waongozaji wa kipindi cha Kim K Na mabosi wa kituo cha E entertainment wako tayari kutoa ata dola milioni 1 ilikupata Picha za Jay z na Beyonce kwenye harusi hio.

