Huko nchini China mbwa amenunuliwa kwa dola milioni 2 (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 3.2) na kufanya kuwa mbwa aliyenunuliwa kwa bei kubwa zaidi.
Mbwa wa huko nchini China amenunuliwa kwa dola milioni 2 (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 3.2) na kufanya kuwa mbwa aliyenunuliwa kwa bei kubwa zaidi.

