Licha ya harusi hiyo kuhudhuriwa na watu wengi maarufu lakini pia ilioneshwa live na kituo cha runinga cha HIP TV ambacho kinaonekana kupitia DSTV.
Bwana na bibi harusi: Paul Okoye na Anita
Baadhi ya watu maarufu waliohudhuria ni pamoja na Pacha wa bwana harusi Peter Okoye na mke wake, Omotola Jalade, Ini Edo, M.I., Banky W, D’banj, Ice Prince, Jude Okoye, Iyanya, Naeto C, Banky W na wengine.