Tazama video mpya kutoka kwa Lady Gaga inayoitwa G.U.Y 'girl under you, Video hi imeongozwa na Lady Gaga na kuanyika katika jimbo la Clafonia kwa takribani siku 6 za kushoot video hii. Itazame hapa chiniLady Gaga - G.U.Y. - An ARTPOP Film