Amin usiamin kuna watu wanaoenda kwa wazee wao kupata baraka za mikono, lakini Q-Chilla ameamua kuwatafuta wanamuziki wakongwe nchini, King Kikii na Kasonga Mpinda ili wampe baraka zao zitakazomuongoza wakati huu ambapo amejipanga kurejea kwa kishindo kwenye chart.
Pokea baraka zetu kijana: King Kikii na Kasongo Mpinda wakimwekea mkono kichwani Q-Chief kama ishara ya kumpa baraka
30 Machi 2014
Picha: Q-Chief apokea baraka kutoka kwa King Kikii na Kasongo Mpinda
Tags
# Picha za Mastaa
# Q_CHILLA
About Mrs News Tanzania
Q_CHILLA
Category:
Picha za Mastaa,
Q_CHILLA

