Wake zake Rapper Lil Boosie Wote wanne waliomzalia watoto rapper aliyetoka jela hivi karibuni, Lil Boosie wameanzisha reality show yao.
Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ, kuwa wanawake hao wa Boosie, Walnita, Tracey, Trivia, na Gerlissa wametayarisha episode ya majaribio miezi kadhaa iliyopita wakati rapper huyo alikuwa jela. Kwa pamoja wamemzalia rapper huyo watoto saba wenye umri wa kuanzia miaka 4 hadi 11.
Lil Boosie akiwa na Mtoto wake
Show hiyo itakuwa ikiangalia urafiki usio wa kawaida wa wake wenza hao na haijulikani kama rapper huyo ambaye jina lake ni Torrence Hatch atakuwa akionekana pia.
15 Machi 2014
Home
Burudani
Habari za Mastaa
Wake wa wanne wa Rapper Lil Boosie waliozaa naye watoto 7 waanzisha reality Tv show yao
Wake wa wanne wa Rapper Lil Boosie waliozaa naye watoto 7 waanzisha reality Tv show yao
Tags
# Burudani
# Habari za Mastaa
About Mrs News Tanzania
Habari za Mastaa
Category:
Burudani,
Habari za Mastaa

