NEWS

17 Aprili 2014

Fashion: Fahamu maana ya rangi ya nguo unayopenda kuivaa

Research ndogo iliyofanyika katika psychology ya rangi za nguo kwamba rangi ya nguo inaweza kukuongelea jinsi ulivyo.



Black
Watu wengi hupendelea nguo nyeusi, ni rangi ambao maarufu katika interviews kwani is not shouting na pia nzuri katika mazingira ya asubuhi na pia inakuonyesha u-seriuos wako.
Brown
Hii ime-relax sana, ni rangi ya ardhi na pia unaweza kuvalia vitu vingi sana, ni rangi iliyotulia na pia inatumika sana na vitu  hii ikimaanisha unaweza kuaminika katika mtazamo wa watu, avoid sana kuivaa pekee yake kwani inaweza kupoteza kuonekana kwake na kuwa boring una weza kuichanganyia na rangi nyingine kama green ili uweze kuichangamsha.

White
Nyeupe ni rangi sahihi kuvaa, kwani inasimama sehemu nyingi sana hapa nikisema white you all know ni nini nakiongelea kwani nyeupe huleta vijana pamoja, its vitality and purity inajionesha  ikivaliwa kutoka juu mpaka chini na pia ni rangi moja maarufu sana Duniani.
Blue
Hii inakuonyesha kama uko real stable hautetereki na pia unaweza kuaminika mbele za watu , kwa kuongezea tu hii inaweza kuitumia hata katika interviews ni rangi nzuri kuivaa.

Purple
Inaweza kukuongelea vizuri sana rangi hii kama wewe ni mbunifu na pia kukuonyesha kama kweli wewe unajali kuvaa.
Red
Hii ni rangi inayonyesha nguvu na pia inaonyesha vitu vingi sana kwa mvaaji. kwa mfano  Love and Romance nadhani unajua kama hata Valentine iko na red lakini tusisahau kidogo itakuonyesha hatari ndani yake…..
Je,wewe hupenda kuvaa nguo za rangi gani?