NEWS

3 Aprili 2014

Feza Kessy kuachia wimbo mpya ‘My Papa’ , atease kava lake

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa – The Chase, Feza Kessy, Baada ya kimya kirefu sasa anatarajia kuachia ngoma mpya iitwayo ‘My Papa’. Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Nahreel. Hili ni kava la single hiyo.