Wakati Nas akiendelea kuperform nyimbo zilizo kwenye albam yake ya Illmatic ambayo imetimiza miaka 20 hivi sasa, Jay Z alipanda pia jukwaani na kuimba verse ya ‘Dead President II na kisha kuhamia kwenye ‘Where I’m From’ kutoka kwenye albam yake In My Lifetime Vol.1.
Kabla hajaondoka jukwaaani alimpa shavu Nas.
“Peace to the god Nas! I had come all the way out here to celebrate 20 of Illmatic. What ana amazing accomplishment!”
Muda mfupi aliingia P. Diddy
