![]() |
| Mr Nice akiwa kaumia vibaya usoni |
Hali ya Mr Nice sio nzuri sana,kwani amevimba kichwa na kuumia sana sehemu za usoni na abiria mwenzake ambaye hajafahamika jina alifariki papo hapo na dereva wa bajaji hali yake sio nzuri. Chanzo cha ajali hiyo huenda ikawa ni mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam
