Gosby anaachia ngoma yake mpya 'Naogopa' aliyomshirikisha Ommy Dimpoz. Ngoma imetengenezwa na Nahreel akishirikiana na Erasto Mashine huku Marco Chali akimalizia katika mixing na vocals isikilize na kuidownload hapa