Weezy amemshirikisha Drake kwenye wimbo huo ambao umetayarishwa na Boi-1da na Vinylz na utakuwa miongoni mwa nyimbo zitakazoikamilisha ‘Tha Carter V’.Usikilize hapa;