Video ya ngoma mpya ya TID aliyomshirikisha JULIO wa bigbrother season 7, ngoma iliyotayarishwa na mkongwe wa kutengeneza video L-BASHIR Kutoka Uganda na Ngoma kutayarishwa na LAMAR kutoka Tanzania.Itazame Hapa Chini..