Platnumz aliingia nchini jana Ijumaa (May 16) akitokea Uingereza kama alivyoahidi na kuhudhuria show ya MTV Africa Road to MAMA iliyofanyika Club Billicanas usiku wa kuamkia leo. Akiwa London Platnumz aliahidi kurejea nchini kwaajili ya tukio hilo muhimu, akiwa kama nominee wa tuzo za MTV Africa (MAMA).
Platnumz ameshare picha akiwa uwanja wa ndege alipokuwa akijiandaa kucheck in mida ya saa 9 alfajiri.
Platnumz ameshare picha akiwa uwanja wa ndege alipokuwa akijiandaa kucheck in mida ya saa 9 alfajiri.
LONDON!!! LONDON!!! LONDON!!! I thout i told ya … see you in a bit -Diamond