Alikiba jana ameshare picha (hapo juu) akiwa kwenye mazoezi ya video na kuandika:
“Am done for the Video rehearsal ,,,…..my question is .did you miss me???”
Ni wimbo gani, kamshirikisha nani, video anafanya na director gani na itafanyikia wapi? Ni maswali ambayo bado wengi tunajiuliza na sina shaka majibu yatatoka hivi karibuni.

