Justin na mama yake
Chanzo kimoja kimeiambia E! News kuwa uwepo wake haukuwafurahisha wengi na watu walisikika wakimzomea baada ya camera za Staples Center kumuonesha. Hata hivyo, Bieber hakujali kelele hizo na aliendelea kuhave fun na mama yake.Tazama picha zaidi za Justin Biber na Mama yake walivyokuwa Uwanjani hapo















