Tazama picha hizi za producer huyo akiwa na watu wengine kwenye kaburi la Ngwair.
Katika kuazimisha siku ya Kifo cha Mangweir , amabayo ilikuwa ni jana siku ya tarehe 28/5/ producer Mkongwe kwenye industry ya muziki P-Funk Majani ameongoza msafara wa watu mbalimbali mashuhuri kwenda Morogoro kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Albert Mangwair.



