Msami na Irene Uwoya
Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwakuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini. Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri.
“Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka. Wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema Rehema.
Msikilize hapa akiongea...

