Soma tweet za Hermy B
Leo natoa ya moyoni,Group ya Bhitz ilivunjwa kutokana na majungu na maneno ya watu ambao wengine ni marafiki zangu wa karibu sana na nawajua— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Na ushahidi wa nani amehusika kwenye kututenganisha tunao…hibi nimewakosea nini jamani…hiki kipaji tumepewa na mungu na ni kwa nia nzuri— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Wengi weni hamjui but maugomvi yote yale yametengenezwa na inauma kugundua kuwa nina marafiki ambao ni wanafki na hawanitakii mema.— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Siku Pancho joined Bhitz,mmoja wa rafiki wanafki akamfata na kumueleza kuwa aache kazi bhitz…leo hii pancho ndo bhitz…huo ni urafiki au?— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Vita ya ay na mwanaFA ilitengenezwa na mtu wote mnamjua..hivi kweli mimi ni wa kudai mamilioni kwa watu ambao tumeanzia kwenye shida pamoja?— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Kuna vingi jamii imepotoshwa kuhusu utendaji wetu na mengine…hamjui mengi coz tumekaa kimya…but ipo siku ntafunguka na kutaja majina— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Imajin mpaka nyimbo za bhitz hazipigwi kwenye baadhi ya radio but kwenye radio yangu nawapa full rotation bila kubana..hii ni haki?wanajijua— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014Ipo siku wote tutarudi studio & do wat we do best,sitoacha kutoa nyimbo coz jamii lazima itambue uwezo wao,Bhitz and that team was the BOMB— Hermy B (@HermyB1) June 4, 2014
