NEWS

24 Juni 2014

Hivi ndivyo alivyosema K-lynn baada ya mengi kutokea ukurasa wa mbele wa Forbes

 Mama wa watoto wawili wa Mh.Reginald Mengi, K-lynn ameeleza hisia zake baada ya mengi kutoa katika ukuasa wa mbele wa jarida la i FORBES AFRICA..lenye title ya “BAREFOOT TO $550 Million” yaani ikimaanisha Mengi kutoka kutembea peku hadi kua tajiri namba 35 Africa akiwa na utajiri wa dola za kimarekani millioni 550.

Jackline aliandika..

K-lynn alisema haya kupitia ukurasa wake wa instagram “Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”

K-lynn alisema haya kupitia ukurasa wake wa instagram “Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”