NEWS

11 Juni 2014

Music: Makomando – Linah

Kundi la Makomando ambalo lina fanya vizuri kwa sasa wakali hawa wa kushambulia Jukwaa wameachia ngoma Mpya ambayo wamemuimbia Mwanadada “Linah” ngoma hii imetaarishwa na Producer Ema The Boy