Wasanii wa muziki na wadau mbalimbali wa muziki wakiwa wanaendelea kulisubiria tukio la utoaji tuzo za MTV Africa Music Awards ‘MAMA’ nchini Afrika Kusini, wasanii wanaendelea kufanya maandalizi mbalimbli kwajili ya show hiyo itayofanyika usiku wa kesho na kuonyeshwa live kupitia DStv Channel 322 na channel nyingine.Tazama picha za maandalizi na matukio mbalimbali ya wasanii.
Davido na Diamond Platnumz wakiwa kwenye maandalizi
Tazama picha zaidi hapa...
Daido akiwa katika duka na Sonara
Sheta akiwa Njaini Kwenda kumuunga Mkono Diamond Platnumz Davido akiwa kwenye maandalizi Davido na Diamond Platnumz wakiwa kwenye maandalizi
Davido na Diamond Platnumz wakiwa kwenye maandalizi Daido akiwa katika duka na Sonara
Vanessa akifanya interview na Treysongz