Milian ametokea kushika hisia za wadada wengi sana hapa town, kutokana na kwanza style tofauti ya kuimba R&B, kwa kipaji chake hicho na uwezo wake mkubwa wa kucheza na sauti, ndio uliofanya aweze kutengeneza nyimbo matata kama hii iitwayo Lisa Love, uikilizapo wimbo huu ndio utajua kwa nini umeweza kumchanganya Wema Sepetu na kukiri kupitia account yake ya instagram kuwa ndiyo wimbo mzuri kwasasa.

“Alot has been said about this track from my good friend but today i decided to jus come out in da open and admit dat I seriously love it… Iam an RnB person and this one ryt here, is wat I call RnB… And the remix is off da hook… Big up to my boy@milliandollarboy … You seriously taking da music industry to da Next Level… Kama Mbele…. Umetisherrrrrrr…. Lisa Love…” -alimalizia kufunguka Diva huyu maarufu sana Wema Sepetu.
