NEWS

12 Juni 2014

Video: Lulu akionyesha gheto lake

Muigizaji Elizabeth Michael “lulu” leo ameamua kufunguka na kuwaonyeha wabongo jinsi ghetto lake lenye rangi nyekundu lilivyokamilika vilivyo. Lulu ameonyesha hadi choo chake kilivyo kikali…duh! ebu cheki mwenyewe…..



Tazama video hii hapa chini