NEWS

8 Agosti 2014

Sababu za wanawake wenye makalio makubwa 'bigy booty' kutopata wanaume wa kuwaoa!


1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi

hatuolewi: (a)Miili yetu imepitwa na wakati, (b)Labda

wanadhani tutashindwa mechi.





2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?

(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,

(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi

yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake

wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana

kuolewa, kwa nini?