NEWS

23 Agosti 2014

Pata Michapo; Mimi Ni Mzuri Najikubali, Napenda Siku Moja Nami Niwe Super Staa wa Bongo Movie Kama Uwoya

Najikubali sana mimi, pia nina Confedence ya Kutosha Mbele za Watu , Napenda niwe Mwingizaji Maarufu Kama Dada yangu Irene Uwoya ila sijui pa kutokea..



Admin nisaidie Kupata Mchungo picha yangu hiyo..Leah
Haya Jamani Madirector wa Movies Mpo?