Mimi mme wangu akitoka kazini gia ya kwanza ni home na simlazimisha bali vijimambo vyangu vya uchokozi wa hapa na pale ndo vinamuwaisha, yaani namfanya mme wangu kama mtoto mdogo, kwa kupitia mavazi yangu na chakula nachompikia ni silaa moja wapo nayotumia ...Jamani Wanawake Wenzangu Amkeni ...Wacha Kulalamika
Consolata