NEWS

23 Agosti 2014

We Mwanamke Kitandani Mvivu Alafu Unaajiri Mdada wa Kazi Mrembo 'Pata Michapo zaidi'

Eti mwanamke anajijua yeye mvivu kunako sita kwa sita alafu siku anakuja kukusuprise kwa kukwambia baba nanii nimepata mdada mpya wa kazi anaitwa fulani.



Ukiangalia mtoto wa kitanga shanga Kiunoni, Shape ndo usiseme, mrembo kwelikweli kama sio kutiana majaribuni nini?