Timbulo ameachia wimbo mpya uitwao ‘Nakumiss Miss’ ambao umetengezwa na studio mbili, One Muziki ya Morogoro na Mazoo Records.