NEWS

30 Agosti 2014

Picha: Huyu ndiye girlfriend wa Ben Pol?

Ben Pol ni msanii ambaye amekuwa nadra kuingia kwenye headlines zinazohusu mapenzi ya mastaa wa bongo na pia ni miongoni mwa wasanii wasioweka hadharani mahusiano yao ya kimapenzi.



Lakini safari hii muimbaji huyo wa ‘Unanichora’ amepost picha iliyozua maswali mengi, lakini yote yakihitaji jibu moja tu, ‘Huyu ndiye ‘baby’ wa Ben Pol?