NEWS

12 Agosti 2014

Picha kali za Rihanna ulizozimic kutoka mtandaoni kwa sasa

Mwanamuzik Rihanna ametokea kwenye cover la W Magazine akiwa na mavazi ya kiasili ya watu wanaoishi porini na nyingine akiwa na mavazi ya watu wanaoishi sehemu zenye baridi.




Magazine hiyo imemtambulisha Rihanna kama “world’s wildest style icon”. Kwenye hii photoshoot alifanya pamoja na models maarufu kama Naomi Campbell,Iman na Balmain.