MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa Instagram kama kawaida yake. Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake.