NEWS

14 Agosti 2014

Sio wamakonde tu, peke yao wanaokula panya bali hata hawa wanakula panya

Hii sasa ni kiboko yao maana hakuna haja ya kuwa na Paka kwenye nyumba kama kuna watu wanaokula Panya kama mboga zingine haina haja ya kuwa na paka ndani ya nyumba.



Kwa hali hali huwezi ukasema alikuwa analipiza kisasi labda panya walikuwa wanamlia vyakula vyake no hicho ni kitoweo tosha kwa wenzetu wa China, tulishazoea kuwaona Wamakonde wanakula Panya tukasema kuwa ni waroho wa nyama kumbe duniani kuna watu wakipiga kama kawa, ama kweli tembea uone mengi na kama unaroho wa kula nyama ovyo ovyo sasa ndio mjifunze kuwa mnaweza mkalishwa na nyama ambazo hamkutegemea.