NEWS

24 Septemba 2014

Nyimbo Mpya:G Nako Ft Barnaba & Lord Eyez - Chunga sana Unyumba

Sikiliza na kuidownload ngoma mpya kutoka kwa G Nako aliyowashirikisha Barnaba na Lord Eyez, nyimbo inaitwa Chunga Sana Unyumba