Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki.
Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani. Taarifa ni kwamba Nicki Minaj anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake baada ya tako hilo kuhama upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks siku ya jumanne usiku. Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..