NEWS

9 Septemba 2014

Usagaji Tatizo Linalokua Kwa Kasi Sana Bongo Kwa Wanawake 'Pata Michapo zaidi Hapa'

Uchunguzi Mdogo uliofanywa na Nipe Michapo Imebaini tatizo la Usagaji badala ya kupungua sasa limeanza kuwa Sugu miongoni mwa Wasichana wa Kibongo na Sasa kufikia mpaka wanafunzi wadogo wa kike kufanya mambo hayo wakiwa mashuleni, Imebainika kuwa Mitandao hasa Whats app na Facebook imekuwa ndio njia wanazotumia wadada kutongozana wenyewe kwa wenyewe mpaka inafikia kufanya vitendo hivyo vya aibu , Kati ya Wadada tulio wahoji wengi wamesema kuwa Wao wanafagilia zaidi penzi la Jinsia Moja (Usagaji) kuliko na Mwanaume , Wengi wamesema kwa Wanaume Wanafuata PESA tu na si Mapenzi , Mmoja Alisema Hivi "Mimi nikiamua Kufanya Mapenzi na Mwanaume basi Ujue nataka kumchuna tu ila nikiwa nataka kuenjoy basi namtafuta Msichana Mwenzangu tunakula Raha" 



Jamani Sijui nini Kifanyike Hapo ? Wanaume Mmeshindwa Kazi Au ?