NEWS

29 Desemba 2016

Orodha ya mastaa 10 wa bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi

Mtangazaji maarufu nchini Tanzania wa kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM, Hamis Mandi maarufu B Dozen leo amewataja mastaa wa bongo ambao wameweka rekodi kwa kuwa na magari ya gharama zaidi zaidi.

Orodha hiyo yenye mastaa 12, ni mjumuisho wa mastaa kutoka katika tanzu mbalimbali za sanaa ikiwa ni pamoja na uigizaji na muziki na utangazaji. Katika orodha hiyo wasanii wa muziki ndio wanaoongoza kwa wingi wa kuendesha magari ya gharama zaidi.

Hii hapa ni orodha ya mastaa 12 wa bongo wanaoendesha magari ya gharama zaidi. Baadhi ya picha zilizotumika ni za aina ya magari wanayoyamilika lakini si picha ya gari lake.

10. Emmanueli Elibariki a.k.a Nay wa Mitego- Prado

Image result for Nay wa Mitego- Prado

9. Idris Sultan- BMW M3

Image result for BMW M3

8. Joseph Haule a.k.a Profesa Jay- Toyota Land Cruiser

Image result for Profesa Jay- Toyota Land Cruiser

7. Madee Seneda- Toyota Prado

6. Ali Kiba- BMW X5

Image result for BMW X5

5. Nurdin Bilal Ali a.k.a Shetta na Gadner G. Habash- Land Rover Discovery 3

Image result for Shetta Discovery 3Image result for Shetta Discovery 3

4. Wema Sepetu- Range Rover E Vogue

Related image

3. QuickRocka- Range Rover Sport

Image result for Range Rover sports

2. Diamond Platnumz na Masanja Mkandamizaji- BMW X6

Image result for Masanja Mkandamizaji BMWImage result for DIAMOND Platnumz bmw

1. Masoud Kipanya- Hummer H3

Image result for Hummer H3

The post Orodha ya mastaa 10 wa bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi appeared first on SWAHILI TIMES.