Kampuni moja nchini Japan imeanzisha kifaa chenye picha ya mwanamke anayeweza kutumika kama mke kwa wanaume wapweke.
Kifaa hicho kwa jina Gatebox kilichotengezewa vijana wapweke kina uwezo wa kuzungumza na hata kukuandikia.
Kifaa hicho hakitakuwa sokoni hadi mwishoni wa mwaka 2017, lakini tayari kimezua hisia kali miongoni mwa watu mbalimbali.
Kampuni moja nchini Japan imetengeneza kifaa chenye picha ya mwanamke (Gatebox) anayeweza kutumika kama mke kwa wanaume wapweke- @bbcswahili http://pic.twitter.com/JJz4xypr8b
— Swahili Times (@swahilitimes) December 29, 2016
The post Video: Kampuni ya Japan yatengeneza kifaa kinachoweza kutumika kama mke appeared first on SWAHILI TIMES.