NEWS

27 Machi 2017

Noma Sana Aisee..Nay wa Mitego Mikononi mwa Kamanda Sirro..!!!


Rapper Nay wa Mitego amehamishiwa katika kituo cha kati cha polisi jijini Dar es Salaam kutoka Mvomero, Morogoro alikokuwa ameshikiliwa na polisi kuanzia asubuhi ya Jumapili, March 26.

Taarifa hiyo imetolewa na mwanasheria maaarufu nchini, Peter Kibatala.