NEWS

31 Machi 2017

Tanzania na Ethiopia zasaini mikataba 3.


IKULU, DAR: Tanzania na Ethiopia zasaini mikataba 3. Rais Magufuli na Waziri Mkuu wa taifa hilo wakubaliana kushirikiana katika Ulinzi, Riadha, Mafunzo ya Kiswahili na Bandari.

Kiongozi huyo wa Ethipia ameahidi na kufungua Ubalozi wa Ethiopia hapa Tanzania.
Aidha rais Magufuli ameahidi kutoa eneo la bure kwaajili ya kujengwa kwa ofisi za ubalozi huo.